Samy Kalonji Badibanga:Tuna miezi 21 hatujawahi pokea chochote kutoka serikali ya Kongo

Mgeni ni Samy Kalonji Badibanga, msimamizi wa tarafa la Fizi na msemaji wa wasimamizi wa tarafa mmia moja makumi ine na tano ya DRC. Anazungumza kuhusu barua ya malalamiko ambayo walikwenda kuwasilisha kwa Mkuu wa Nchi wakati wa misheni yake pa Kisangani. Samy Kalonji Badibanga kwenye kipaza sauti cha Jean Kasami.

Source: Radio Okapi

Archives